LISU,MBOWE KWENYE KAMATI KUU CHADEMA

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiwa na Makamu mwenyekiti wake, Tundu Lissu wakati wa kikao cha Kamati Kuu ya Chadema kinachoendelea makao makuu ya chama hicho, Mikocheni Dar es Salaam, leo Ijumaa, Januari 10, 2025.

 



0/Post a Comment/Comments