Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) limetangaza matokeo ya kujipima ya darasa la nne na kidato cha pili ambapo matokeo ya jumla yanaonesha kuongezeka kwa ufaulu kwa mitihani hiyo.
Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) limesema jumla ya wanafunzi 1,320,227 kati ya wanafunzi 1,530,911 waliofanya mtihani wa Darasa la Nne, sawa na asilimia 86.24 wamefaulu kwa kupata madaraja A, B, C na D ikiwa ni ongezeko la asilimia 2.9.
MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE (SFNA) 2024
Ingia hapa = MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA KIDATO CHA PILI (FTNA) 2024
Post a Comment