PICHA YA PAMOJA YA MARAIS WA NCHI ZA AFRIKA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Marais wa Nchi za Afrika, Wakuu wa Taasisi mbalimbali duniani kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Masuala ya Nishati katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) tarehe 28 Januari, 2025.
Post a Comment