RAIS SAMIA AIPONGEZA SIMBA KUINGIA ROBO FAINALI KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA


"Hongera kwa Klabu ya Simba kwa kufuzu kuingia Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAF Confederation Cup). Endeleeni kufanya kazi kuipa nchi yetu burudani na kuipeperusha bendera yetu kimataifa. 


Ninawatakia kila la kheri.' amesema Rais Samia 

0/Post a Comment/Comments