SIMBA YAFANYA VYEMA UGENINI,YASHINDA 0-1


..................

Timu ya Simba SC ya Tanzania imejihakikishia nafasi nzuri katika Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kuifunga Timu ya Club_Sportif. Sfaxien ya Tunisia kwa Jumla ya bao Moja kwa sifuri (0-1).

Katika mchezo huo ambao umechezwa nchini  Tunisia Simba SC imeonyesha kandanda la kuvutia mbele ya wapinzani wao na kufanikiwa kupata goli katika Kipindi cha kwanza ambalo limefungwa na mchezaji wake machachari Ahour na ambalo limedumu Mpaka dkk 90 zinamalizika

Hata hivyo kwa matokeo hayo yanafanya Timu ya Simba SC kufikisha alama 9 katika msimamo.

0/Post a Comment/Comments