......................
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limeutaarifu umma kuhusu uwepo wa hitilafu katika kituo cha miito ya simu hivyo kupelekea kutopatikana kwa namba ya huduma kwa wateja 0748550000.
Shirika hilo limewashauri wateja kutumia namba za huduma kwa wateja za mikoa husika kwa ajili ya kutoa taarifa za changamoto mbambali.
Post a Comment