****
Tanzania imepangwa Kundi C na timu za Tunisia, Uganda na Nigeria ambao ni Mabingwa mara tatu wa michuano ya AFCON 2025 yatakayofanyika nchini Morocco mwezi December 202 ikiwa hii ni AFCON ya pili mfululizo kwa Tanzania kushiriki ya nne katika historia.
Post a Comment