Tausi Mbowe
Mamalaka ya Dawa na Vifaa Tiba Tanzania (TMDA), Kanda ya Nyan za Juu Kusini imetoa msaada wa vitu mbalimbali ikiwamon dawa kwa watu wenye mahitaji.
Dawa hizo zimegawiwa umetolewa leo Januari 27,2025 katika hafla fupi iliyofanyika mkoani Rukwa.
Walionufaika na mgao huo ni Vtuo vya Afya vya Mazwi na JKT.










Post a Comment