TMDA YATEKETEZA DAWA ZILIZOISHA MUDA WA MATUMIZI

****

Na Tausi Mbowe

Mamlala ya Dawa na Vifaaa Tiba Tanzania (TMDA), Kanda ya Magharibi imeteketeza dawa zilizoisha muda wake. 

 Uteketezwaji huo umefanywa leo Januadi 27, 2025.

Utekelezwaji ulifanywa na Hospitali ya Kitete. 

Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba ndiyo yenye jukumu la kusimamia uongizwaji wa dawa, Vifaa Tiba na Vitendanishi.



 

0/Post a Comment/Comments