Jukwa la Wahariri Tanzania (TEF), limepitisha wanachama wapya 23 kutoka vyombo vya habari mbalimbali.
Taarifa iliyotolewa leo Jumatano, Januari 14, na Mwenyekiti wa TEF, Deodatus Balile imesema kuwa wanachama hao wamepitishwa katika mkutano Mkuu uliofanyika hivi karibuni jijini Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa Balile, wanachama hao wanatoka katika Magazeti, Radio, Televisheni, Mitandao ya kijamii na walimu wa Vyuo vya uandishi wa habari.
Post a Comment