BALOZI NCHIMBI NA PROF. MAHALU WAKUTANA UWANJA WA NDEGE WA DODOMA
byTorch Media-0
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akisalimiana na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Mt. Augustine (SAUT), Balozi Prof. Costa Ricky Mahalu, walipokutana leo tarehe 2 Februari 2025, Uwanja wa Ndege wa Dodoma.
Post a Comment