BONDIA MTANZANIA APIGWA UGANDA


****

Bondia Mtanzania Salum Gumbo apoteza pambano lake dhidi ya bondia wa Uganda Joshua Tusingwire.

Gumbo amepoteza kwa 'points' dhidi ya Tusingwire katika pambano hilo la raundi 10 ambalo limefanyika jioni ya leo jijini Kampala.

Pambano linalofuata ni la bondia Kennedy Ayo dhidi ya mpinzani wake kutoka nchini humo Henry Kasuja Kigongo.

0/Post a Comment/Comments