KAMATI YA MAB YAKUTANA

*******

Na Tausi Mbowe, Dar

Kamati ya Ukaguzi ya MAB imekutana jijini Dar es Salaam. 

Kamati hiyo imekutana leo Februari 3, katika ofisi za TMDA. 

Lengo la kukutana kwa kamati hiyo ni kujadili ripoti ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (GAG). 

Hatua hiyo inafuatia ukaguzi uliofanywa na CAG kuhusu mali kwa kipindi cha mwaka 2023/24..

Kwa muda mrefu Mamala ya Dawa na Vifaa Tiba Tanzania (TMDA) imekuwa ikifanya vizuri katika hesabu zake na kupata hati safi.



 

0/Post a Comment/Comments