KENNEDY AYO BONDIA NAMBA SITA KUTOKA TANZANIA APOTEZA PAMBANO KWA 'POINTS' UGANDA


******

Bondia wa ngumi za kulipwa kutoka Tanzania, Kennedy Ayo mwenye taulo shingoni katika picha ya kwanza amepoteza pambano kwa 'points' nchini Uganda.

Ayo amepoteza pambano hilo la raundi 10 la uzani wa 'welter' dhidi ya mpinzani wake Henry Kigongo.

Pambano hilo limefanyika jioni ya leo katika ukimbi wa Brown uliopo jijini Kampala nchini humo.

Ayo ni bondia namba sita nchini Tanzania kati ya mabondia 53 na Duniani ni wa 286 kati ya 1973 akiwa na nyota moja na nusu katika uzani wa 'middle' huku akicheza mapambano tisa akishinda sita kati ya hayo ameshinda mawili kwa 'KO' na kupoteza mawili matatu.

0/Post a Comment/Comments