MAADHIMISHO YA MIAKA 10 YA FEMALE FUTURE PROGRAM NA MAHAFALI YA AWAMU YA 10





Matukio mbalimbali kwenye Maadhimisho ya Miaka 10 tangu kuanza kwa mafunzo ya Uongozi kwa Wanawake Tanzania (Female Future Program) pamoja na Mahafali ya Wahitimu wa Awamu ya 10 ya Mafunzo hayo katika ukumbi wa The Super Dome, Masaki Jijini Dar es Salaam tarehe 21 Februari, 2025.
 

0/Post a Comment/Comments