.....................
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluh Hassan amefanya uteuzi wa viongozi na kumpangia kituo cha kazi Balozi.
Kwa mujibu wa taarifa ambayo imetolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt Moses Kusiluka imeeleza Kuwa Dkt Fred Msemwa ameteuliwa kuwa Katibu Mtendaji wa Tume ya Taifa ya Mipango, ambapo kabla ya uteuzi huo alikuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Watumishi Housing Investment
Pia amemteua Prof Philipo Sanga kuwa mkuu wa Elimu ya Taasisi ya watu wazima (TEWW),kabla ya uteuzi huo alikuwa Mhadhiri Mwandamizi katika taasisi hiyo
Post a Comment