SUMAYE, DK NCHIMBI WATETA


 ...............

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amekutana na kufanya  mazungumzo na Waziri Mkuu nstaafu,  Frederick Sumaye.

Sumaye ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM mstaafu amemtembelea Balozi Nchimbi ofisini kwake, leo Jumatatu Februari 24, 2025.

0/Post a Comment/Comments