TANESCO YATANGAZA RATIBA YA MGAO WA UMEME KUANZIA FEB 22-228
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetoa ratiba ya Siku za Mgao wa Umeme kuanzia Februari 22 hadi 28, 2025
Ikumbukwe TANESCO walitangaza mgao wa Umeme kwa baadhi ya maeneo ya Dar es Salaam, Pwani na Zanzibar kutokana na maboresho katika kituo cha kupokea, kupoza, na kusambaza Umeme cha msongo wa Kilovolti 220 kilichopo Ubungo, jijini Dar es Salaam.
Post a Comment