WAANDISHI ACHENI KUKIBANANGA KISWAHILI.

...................

Vyombo vya habari vyatakiwa kuelimisha jamii namna bora ya kunzungumza na kuandika kiswahili sanifu na kuacha kukibananga kwa kutumia maneno yanayo fubaza kiswahili.

Haya ya mesemwa na waziri wa habari, sanaa utamani na michezo profesa Palamagamba Kabudi wakati wa kufungua mkutano wa mwaka wa vyombo vya utangazaji ulifanyika leo jijini Dodoma.

Pia kumekuwa na mabadiliko makibwa katika matumizi ya kiswahili katika vyombo vya habari ,hali hii inachangia katika mtazamo wa jamii kuhusu Lugha na utamaduni.

Hata hivo Nae Katibu mkuu wa wizara hiyo Gerson Msigwa amewashukru TCRA kwa kuweza kuandaa mikutano hii mara kwa mara kwani zamani hakukuwa na utaratibu huo.

Mwisho vyombo vya habari vinatakiwa kuwa mstari wa mbele kuhakikisha lugha ya kiswahili inatumika ipasavyokatika jamii na kuondoa dhana potofu kuhusu lugha yetu ya kiswahili.

0/Post a Comment/Comments