***
Kanisa la WRM Ministries lililochini ya @prophet_nicolaus_suguye leo linatimiza MIAKA 18 toka kuanzishwa kwake huku Prophet Suguye akijivunia makubwa ambayo yametendwa na MUNGU kupitia WRM kwa waumini wake
Kanisa limefanya mengi ikiwemo kusaidia Wajane,wazee na watoto yatima,pia wamefanya juhudi mbalimbali katika kuboresha Miundombinu ya barabara ambapo walichagiza kufanywa maboresho ya barabara ya kivule na baadae Serikali ikawadaidia kuiweka lami.
#Happy18AnniversaryWRM
Post a Comment