BALOZI MWAPACHU AFARIKI DUNIA

 
.........

Aliyekuwa Balozi Juma Volter Mwapachu amefariki dunia. 

Balozi Mwapachu ambaye amewahi kushika nyadhifa mbalimbali ndani na nje ya nchi amefariki dunia leo Ijumaaa, Machi 28,2025.

Mwapachu amefikwa na umauti katika Hospitali ya Taia Muhimbili leo jioni. 

Innah Lillahi wa Innah Ilahi Ra’jiun.

0/Post a Comment/Comments