DKT SLAA AREJEA CHADEMA


 *****

Aliyekuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA Taifa na Mgombea Urais kupitia Chama hicho Dr. Wilbroad Slaa amerejea CHADEMA na kupokelewa na Mwenyekiti wa Chama hicho Taifa Tundu Lissu katika uwanja wa Ruanda Nzovwe, Mbeya leo March 23, 2025.

Chama hicho kinazindua Operesheni No Reforms No Election katika Jiji la Mbeya.

0/Post a Comment/Comments