HUDUMA ZA KIBOBEZI ZAIDI YA KUMI ZAANZISHWA MOI.

.......................

Taasisi  ya mifupa ya Tibq ya mifupa ubongo na mishipa ya fahamu Moi imefanikiwa kuanzisha huduma zaidi ya kumi za kibobezi ambazo awali wagonjwa walilazimika kuzifata nje ya nchi.

Akizungumza na waandishi wa habari March 5.2025 jijini Dodoma Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi hiyo Balozi ,Dkt.Mpoti Ulisubisya wakati akieleza mafanikio na mwenendo wa Taasisi katika kipindi cha miaka minne ya serikali ya awamu ya sita .

Pia kwa mwaka 2024 Taasisi ya Tjba ya mifupa bongo na mishipa imefanikiwa kuwekea mikono bandia  kwa wagonjwa sita na kutengeneza viungo bandia kwa kutumia teknolojia ya 3D wagonjwa wa nne.

Aidha Dkt.Ulisubisya amesema mipango  ya baadae ya Taasisi jiuo inaendelea kuboresha huduma kwa viwanho vya kimataifa kwa ujenzi wa Hospital ya kisasa ya utengamao  Mbweni mpiji jijini Dar esa Salam.

Serikali ya awamu ya sita imeokoa kiasi cha sh. Bilion 150 kwa wagonjwa ambao wangeenda kutibiwa nj ya nchi ,na wagonjwa wengine kutibiwa bila gharama yoyote.


0/Post a Comment/Comments