HomeMICHEZO JUMA KASEJA ATUA KAGERA SUGAR KAMA KOCHA MKUU byTorch Media -March 04, 2025 0 Vongozi wa Klabu ya Kagera Sugar wametoa taarifa kwa Mashabiki wa Klabu hiyo na Wadau wa mpira kwamba kuanzia sasa Juma Kaseja atakuwa Kocha Mkuu wa kikosi hicho.
Post a Comment