MAJALIWA MGENI RASMI MASHINDANO YA KUHIFADHI QUR’AN

...........,.....

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika fainali za mashindano ya kuhifadhi Qur’an Tukufu ya Afrika Mashariki na Kati.

Mashindano hayo yanafanyika leo Jumamosi Machi 8, 2025 katika Uwanja wa mpira wa miguu wa Azam, uliopo Chamanzi jijini Dar es Salaam.

Mashindano hayo yameandaliwa na Taasisi ya Mana’hil al Irfan Foundation.

 

0/Post a Comment/Comments