Na Ester Maile..Dodoma
Chuo cha Taifa cha usafirishaji kinatarajia kupokea Dora za kimarekani milioni ishirini namojq laki mbili Hamsini elfu (USD 21,250000) ambazo ni sawa na shilingi za kitanzania Arobaini na tisa (Tsh 49 bilioni) kwa ajili ya kuanzisha kituo cha umahiri cha mafunzo ya taaluma za usafirishaji wa Anga na operesheni za usafirishaji (centre of Excellence inAviation and Transprt Operations CoEATO).
Ameyasema hayo Dkt Prosper Lutangilo Mgaya leo march 20.2025 jijini Dodoma wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mafanikio ya chuo hizo kwa kipindi cha miaka minne ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan.
Pia kupitia mradi huo serikali imewezesha chuo kujenga majengo matano katika kampasi ya mabibo Dar es Salaam na ujenzi wake umefikia asilimia 97.
Kati ya majengo hayo matatu ya kituo cha umahiri katika taaluma ya Anga na opereshenza usafirishaji yatakuwa madarasa ,maabara ,karakana na ofisi za watumishi.
Majengo mawili ni mabweni ya wanafunzi yenye uwezo wa kulaza wanafunzi 1,504 na ujenzi huo unatarajiwa kukamilkka ifikapo mwezi June 2025.
Vile vile jjenzi wa majenho hayo utagharimu shilingi 24.9 bilioni na mradi umefadhili ujenzi wa jengo la mafunzo ya urubani katika eneo la KIA ambalo serikali ya awamj ya sita imetowa .
Chuo cha Taifa cha usafirishaji kitaendelea kjboersha dhamana ya kuzalisha nguvu kazi majiri na kujenga uwezo wa kiteknolojia katiak sekta ya usafirishaji ili kuwa na uhakika wa uzalishaji wenye tija kwenya uchumi wa maendeleo.
Post a Comment