Shirika la umeme Tanzania(Tanesco) limeandaa mpango wa kuweka
wamanejimenti ,utawala na kuwa mkoa wa SGR ilikukabiliana na changamoto zinazoweza kujitokeza.
Ameyasema hayo Leo 26.march 2025 jijini Dodoma, Mkurugenzi mtendaji wa shirika hilo Mhandisi Gissima Nyamo_Hanga wakati wa mkutano wake na waandishi wahabari alipokuwa akielezea mafanikio ya Tanesco ndani ya kipindi cha miaka minne.
Nyamo _hanga amesema Tanesco wanaendelea kuimalisja huduma ya umeme kwenye SGR kwa kuweka meneja wa mkoa ,utawala maalum ,mafundi na mainjinia kwa ajili ya kuangalia huduma katika mkoa wa SGR.
Hata hivyo shirika la umeme Tanzania limewahakikishia watanzania kuwa hakuna changamoto yoyote ya umeme itakayo jitokeza katika safari za tren ya mwendo kasi SGR.
Post a Comment