TMDA YAWANOA WASIMAMIZI WA MIKATABA


                ******

Na Tausi Mbowe

Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba Tanzania (TMDA), imewakutanisha Wasimamizi wa Mikataba ya Manunuzi ya Umma katika mafunzo maalum. 

Pamoja na mambo mengine Wasimamizi hao wamejifunza kuhusu uwajibikaji. 

Pia mafunzo hayo yatalenga usimamizi wa rasilimali za umma. 

Mafunzo hayo yamefanyika leo Machi 5, 2025 jijini Da es Salaam. 

Mamlaka ya Dawa na Viaa Tiba Tanzania (TMDA) , inajukumu la kusimamia masuala yote ya dawa, vifaa tiba na vitendanishi ikiwa ni pamoja na kuzingatia ubora wake.




 

0/Post a Comment/Comments