******
Wafanyakazi kumi na tano wafukuzwa kazini na wengine sita kushushwa vyeo kutokana na ukosefu wa maadili katika mamlaka hiyo.
Yamebainishwa na Yusuph Juma Mwenda kamishna wa mamlaka ya mapato Tanzania wakati akizungumza na waandishi wa habari leo 12 march Dodoma.
Pia mwenda amesema TRA itahakikisha inasimamia usawa katika ulipaji kodi kwa kipambana na wakwepa kodi na watoa listi bandia.
Post a Comment