TRA YAJIPANGA KUPAMBANA NA WASIO LIPA KODI ZA BIASHARA

.................

Na Ester Maile_ Dodoma 

TRA imeongeza makusanyo ya kodi kwa asilimia 78 kutoka shilingi Tilion11.92 hadi kufikia shilingi tilion 21.20  ndani ya miaka minne.

Haya yamebainishwq na Yusuph Juma Mwenda Kamishina mkuu wa Mamlaka ya mapato Tanzania  katika mkutano wake na waandishi wa habari leo 12 march Dodoma akizungumzia mafanikio katika mamlaka hiyo.

Poa katika miezi nane ya mwaka wa fedha 2024_2025 TRA imevuka malengo yaliyopqngwa na serikali kwa kila mwezi na kwa miezi nane mafululizo ,yote hayo yametokana na utekelezaji wa maelekezo ya Risi Samia suluhu Hassan .

Mwenda amesema kwa kipindi cha miaka minne mamlaka ya mapato imefukuza wafanyakazi kumi na nne  na wafanyakazi kumi na mbili wamepunguziwa mishahara  na wengine wengine sita wash usawa vyeo kwa kumiuka maadili ya utumishi katika mamlaka hyo.

Aidha TRA wameweza kusimamia usawa katika biashara kwa kuzuiawa kwepa kodi na watoa listi bandia kwa kutoa elimu ya mlipa kodi na madhara ya ukwepaji wa kodi.



 

0/Post a Comment/Comments