Na Tausi Mbowe
Watumishi wa Mamalaka ya Dawa na Vifaa Tiba Tanzania (TMDA), wametoa msaada kwa wagonjwa wa Saratani
Watumishi hao wametoa msaada huo ikiwa ni sehemu ya kusheherekea Siku ya Mwanawake Duniani.
Watumishi hao wanawake wametoa msaada huo leo Ijumaa Machi 4, 2025 katika Hospitali ya Rufaa Bugando iliyopo jijini Mwanza.
Wananawake nchini kote wanajiunga na wenzao kusheherekea Siku ya Wanawake Duniani ambako inaadhimishwa kila. Machi 8.
Nchini Tanzania maadhimisho hayo yanatarajiwa kufanyika jijini Arusha ambako Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi.
Post a Comment