Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwasili Jijini Roma nchini Italia ambapo anatarajia kumwalisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Ibada ya Mazishi ya Baba Mtakatifu Francisko itakayofanyika Vatican tarehe 26 Aprili 2025.
MAKAMU WA RAIS AWASILIA ROMA KUSHIRIKI MAZISHI YA PAPA
::::::::
Post a Comment