ULEGA NA MALIMA WATUMIA HELIKOPTA KUKAGUA ATHARI ZA MVUA BARABARA YA IFAKARA - MALINYI

******

Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Adam Malima wakikagua athari za mvua katika miundombinu ya barabara ya Ifakara - Malinyi yaliyosababisha kukatika kwa mawasiliano ya barabara hiyo Mkoani Morogoro.

Katika Ukaguzi huo, Waziri Ulega ameambatana na timu ya Watalaam kutoka Wizara ya Ujenzi na Wakala ya Barabara (TANROADS).




 

0/Post a Comment/Comments