VITUO VYA GESI ASILIA NCHINI SASA NI TISA


          ::::::::
 Hadi Aprili, 2025 jumla ya vituo 9 vya CNG vimekamilika na vinatoa huduma, ikilinganishwa na vituo viwili (2) mwaka 2020/21.

 Mwelekeo wa Serikali ni kuwa na vituo 7620 ifikapo Juni, 2026. 

Aidha EWURA iliendelea kusimamia shughuli za udhibiti katika mkondo wa kati na chini wa gesi asilia kwa kufanya kaguzi katika miundombinu ya uchakataji, usafirishaji na usambazaji wa gesi asilia na vituo vya kujazia gesi hiyo kwenye magari (CNG) katika mikoa ya Mtwara, Lindi, Pwani na Dar es Salaam.



#Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Nishati kwa mwaka 2025/26

0/Post a Comment/Comments