::::::
Hadi Aprili, 2025 EWURA ilitoa jumla vibali nane (8) kwa ajili ya ujenzi wa mabomba ya kupeleka gesi asilia kwenye vituo vya CNG. Vibali sita (6) vilitolewa kwa Kampuni ya TPDC ili kuunganisha gesi asilia katika vituo vya: Puma Energy Tanzania Limited (Mbezi Beach); TPDC (Mlimani); TAQA Dalbit (Ubungo Mawasiliano); Energo Tanzania Limited (Mikocheni); na BQ Contractors (Goba) na vibali viwili (2) vilitolewa kwa Kampuni ya Pan African Energy Tanzania Limited (PAET) kwa ajili ya kuunganisha gesi asilia katika vituo vya: Victoria Service Station Limited (Kipawa); na Rafiki CNG Station (Tabata).
#Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Nishati kwa mwaka 2025/26
Post a Comment