TANZIA :CHARLES HILARY AFARIKI DUNIA


.......,...
 Mkurugenzi wa Idara ya Mawasiliano Ikulu ya Zanzibar na Msemaji Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Charles Hilary afariki Dunia Alfajiri ya leo Mei 11, 2025..

Amefariki wakati akipatiwa matibabu katika hospital ya Muhimbili Mloganzila
 Iliyopo Kibaha Mkoani Pwani Nchini Tanzania.

Kipozi amebitisha kifo cha  mpendwa Charles Hilary.

 Akizungumza kwa simu  Akiwa Dodoma alipoulizwa na mlezi wa wadau amesema  ni kweli Hillary alikuwa anaumwa na Alifanyiwa operesheni ndogo huko zanzibar. 

Amesema alirudi nyumbani kwake kibamba. Jijini. Lakini akazidiwa lakini wakati anakimbizwa Hospital ya Mloganzira alifariki akiwa njiani

0/Post a Comment/Comments