YANAGA YAENDELEA NA MSIMAMO WAKE KUTOCHEZA MCHEZO WA DABI
byTorch Media-0
.....................
Uongozi wa timu wa Yanga umetoa taarifa ya kuendelea kuwa na msimamo wao wa kutocheza mchezo namba 184 wa ligi kuu msimu huu ambao ulipanga kuwakutanisha na wa watani zao wa wajadi Simba
Post a Comment