DSTV TANZANIA YAZINDUA PROMOSHENI YA "ONJA UTAMU WA JUU"

:::::::: 

Wakati Michuano mikubwa ya  Kombe la Dunia ya Vilabu ikiendelea kutimua vumbi kampuni ya Multchoice Tanzania DSTV imesema ipo sambamba na wateja wake kwa kuwapa ofa mbalimbali ikiwemo ya Onja UTAMU wa mitanange ya FIFA  kwa mteja kulipia kuanzia kifurushi cha POA ambapo atapata wasaa wa kushuhudia  michuano yote LIVE 

Mkuu wa Masoko Multichoice Tanzania Ronald Shelukindo, ampema leo amezungumzia ujio wa Onja Utamu akieleza jinsi wananchi na wateja na wanamichezo watakavyopata uhodo wa michuano hiyo mikubwa ambapao amesema lengo lao ni kuahkikisha kila mtanzania na mpenda michezo anafanikiwa kujionea michuano hiyo.





 

0/Post a Comment/Comments