MAJALIWA MGENI RASMI MAADHIMISHO MIAKA 21 YA TAHLISO

::::::

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Juni 14, 2025 ni mgeni rasmi katika maadhimisho ya miaka 21 ya Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu, yanayofanyika katika uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma









 

0/Post a Comment/Comments