RATIBA YA EPL MSIMU UJAO EPL IMETOKA TANZANIA LIGI BADO HAIJAISHA

Ratiba ya Ligi kuu Nchini Uingereza leo imeachiwa rasmi ikitarajiwa kurudi rasmi kuanzia tarehe 15/8/2025 huku wengi wakivutiwa na namna ratiba hiyo ilivyopangwa hususani mchezo kati ya Man Utd dhidi ya Arsenal moja ya mechi nzuri wadau wengi wa Soka wakisubiri wachezaji wapya watakaoingia kwenye timu zao pendwa baada ya dirisha hili la Usajili.

 Huku nchini Tanzania Ligi yetu ikiwa bado kukamilika kwa mizinguko mitatu na huku ndio kwanza mechi hizo zinaendelea kulindima siku ya leo. Je una maoni gani juu ya Ligi yetu ya Tanzania Bara?? Imeandikwa na kuandaliwa


 

0/Post a Comment/Comments