CCM YATOA TAARIFA KUHUSU UPOTOSHAJI NA ZA UONGO

Chama cha Mapinduzi (CCM) kimewataarifu Watanzania kuwa kinatumia nembo  maalum (QR Code) kuweza kuhakiki na kuitambua taarifa rasmi iliyotolewa na Chama hicho ili kuzuia na kudhibiti uzushi,unaotolewa na watu wenye malengo ovu ya kupotosha na kuzua tafrani.



 

0/Post a Comment/Comments