Mwenyekiti wa Tume Huru ya
Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele
akimkakabidhi mkoba wenye fomu za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea wa Kiti cha
Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya
Chama cha Tanzania Democratic Alliance (TADEA), Mhe. Georges Gabriel Bussungu.
Mgombea huyo waaliambatana na Mgombea Mwenza, Mhe. Ali Makame Issa (kushoto) alichukua fomu hizo
leo Agosti 11, 2025 ambapo Tume inataraji kufanya uteuzi Agosti 27 mwaka huu.
(Picha na INEC).
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akimkakabidhi mkoba wenye fomu za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Tanzania Democratic Alliance (TADEA), Mhe. Georges Gabriel Bussungu. Mgombea huyo waaliambatana na Mgombea Mwenza, Mhe. Ali Makame Issa (kushoto) alichukua fomu hizo leo Agosti 11, 2025 ambapo Tume inataraji kufanya uteuzi Agosti 27 mwaka huu. (Picha na INEC).

Mgombea wa Kiti cha Rais katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Tanzania Democratic Alliance (TADEA), Mhe. Georges Gabriel Bussungu na Mgombea Mwenza, Mhe. Ali Makame Issa (kushoto) wakionesha mkoba baada ya kukabidhiwa na Tume katika Ofisi za Tume Njedengwa Jijini Dodoma leo Agosti 11, 2025 ambapo Tume inataraji kufanya uteuzi Agosti 27 mwaka huu. (Picha na INEC).
Wajumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi wakiwa katika ukumbi wa utoaji fomu. Kulia ni Mhe. Dkr. Zakia Mohamed Abubakar akiwa na Mhe. Magadalena Rwebangira
Wajumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi wakiwa katika ukumbi wa utoaji fomu. Kusho ni Mhe. Jaji Asina Omar akiwa na Mhe. Balozi Ramadhani Omar Mapuri.
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akitoa maelezo.

Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume, Ndg. Ramadhani Kailima akimpa maelekezo mgombea.
Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Tanzania Democratic Alliance (TADEA), Mhe. Georges Gabriel Bussungu akisaini.
Post a Comment