CHINI YA RAIS SAMIA UKUSANYAJI WA MAPATO WAFIKIA TZS3.1TRILIONI MWAKA 2025 KUTOKA TZS1.72TRILIONI ZA MWAKA 2020


:::::::::


Chini ya Rais Samia, mapato ya ndani yameongezeka kutoka shilingi trilioni 20.59 mwaka 2020|21 (wastani wa trilioni 1.72 kwa mwezi) hadi trilioni 29.83 mwaka 2023|24 (wastani wa trilioni 2.49 kwa mwezi) kwa sasa mapato yamefikia trilioni 3 kwa mwezi, huku kati ya Julai 2024 hadi Mei 2025 yakipanda zaidi kufikia wastani wa trilioni 2.83 kwa mwezi.

 Vilevile, uwiano wa mapato ya ndani kwa Pato la Taifa umeongezeka kutoka asilimia 13.7 mwaka 2020/21 hadi asilimia 15.0 mwaka 2023|24, hali inayoonesha mageuzi makubwa na ufanisi katika ukusanyaji wa mapato ya ndani.

0/Post a Comment/Comments