Mgombea wa Kiti cha Rais kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), Mhe. Yustas Mbatina Rwamugira na Mgombea Mwenza, Mhe. Amana Suleiman Mzee (kushoto) wakionesha mkoba wa fomu walio kabidhiwa. (Picha na INEC).
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akimkakabidhi mkoba wenye fomu za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), Mhe. Yustas Mbatina Rwamugira . Mgombea huyo aliambatana na Mgombea Mwenza, Mhe. Amana Suleiman Mzee (kushoto) alichukua fomu hizo leo Agosti 11, 2025 ambapo Tume inataraji kufanya uteuzi Agosti 27 mwaka huu. Kulia ni Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume, Ndg. Ramadhan Kailima. (Picha na INEC).
Mgombea wa Kiti cha Rais kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), Mhe. Yustas Mbatina Rwamugira.
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume, Ndg. Ramdhani Kailima akimwelekeza mgombea namna ya kujaza daftari.
Mgombea wa Kiti cha Rais kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), Mhe. Yustas Mbatina Rwamugira akisaini fomu.
Mgombea Mwenza, Mhe. Amana Suleiman Mzee akisaini kitabu.
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akizungumza wakati wa utoaji wa fomu.
Mgombea Mwenza, Mhe. Amana Suleiman Mzee
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akizungumza wakati wa utoaji wa fomu, Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Tume, Mhe. Jaji wa Rufani (Mst) Mbarouk Salim Mbarouk na kulia ni Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume, Ndg. Ramdhani Kailima.Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume, Ndg. Ramdhani Kailima akimwelekeza mgombea namna ya kujaza daftari.

Post a Comment