Bondia Mtanzania, Ezra Paul amefuzu hatua ya fainali kwa kumtandika kwa 'points' mpinzani wake raia wa Rwanda, Murenzi Hassan.
Paul amemtandika Hassan kwa 'ponts' 5-0 katika pambano la hatua na nusu fainali ya mashindano ya ngumi barani Afrika ambayo yanafanyika nchini Kenya jijini Nairobi.
Fainali ya michuano hiyo itafanyika siku ya Ijumaa jijini Nairobi.
.jpg)
Post a Comment