MAKAMU WA RAIS AKISHIRIKI IBADA YA JUBILEI YA MIAKA 50 YA DAYOSISI YA PARE

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Askofu Dkt. Alex Malasusa wakati alipowasili Same mkoani Kilimanjaro kushiriki Ibada Maalum ya Kilele cha Jubilei ya Miaka 50 ya Kuzaliwa kwa Dayosisi ya Pare leo tarehe 19 Oktoba 2025.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisalimiana Maaskofu mbalimbali wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) wakati alipowasili Same mkoani Kilimanjaro kushiriki Ibada Maalum ya Kilele cha Jubilei ya Miaka 50 ya Kuzaliwa kwa Dayosisi ya Pare leo tarehe 19 Oktoba 2025.


 

0/Post a Comment/Comments