SERIKALI KUANZISHA WIZARA YA VIJANA


.............
Serikali imedhamilia kuanzisha wizara maalumu ya vijana ili kuongeza kasi ya masuala ya vijana kushughulikiwa kwa wakati.

Akizungumza katika hafla ya kufungua rasmi Bunge la 13 jijini Dodoma leo Ijumaa, Novemba 14, 2025 Rais Samia Suluhu Hassan amesema awali vijana ilikuwa kama idara inayopatika ndani ya wizara nyingine jambo ambalo limeinyima fursa ya mambo yao kushughulikiwa kwa wakati lakini sasa tutaenda kuunda wizara maalumu ya vijana," amesisitiza.

 

0/Post a Comment/Comments