WAZIRI MKUU AWASILI MKOANI ARUSHA KWA ZIARA YA KIKAZI

 


WAZIRI Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amewasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) ambapo atakagua uharibifu uliosababishwa na vurugu zilizotokea Oktoba 29, 2025 mkoani Arusha.

Mheshimiwa Dkt. Mwigulu amepokelewa na viongozi wa Seorikali pamoja na Chama.






0/Post a Comment/Comments