WAZIRI OFISI YA MAKAMU WA RAIS NA MKURUGENZI WA GOOD NEIGHBORS

  Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhandisi Hamad Yussuf Masauni (wa pili kulia) akizungumza na Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Good Neighbors Tanzania Bi. Ilsun Jung (wa kwanza kulia) ambao wameonesha nia ya kuwekeza nchini katika Biashara ya Kaboni. Kikao hicho kimefanyika Dodoma, Novemba 25, 2025. Wa kwanza kushoto ni Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Festo Dugange.
   Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Good Neighbors Tanzania Bi. Ilsun Jung (wa kwanza kulia) akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhandisi Hamad Yussuf Masauni (katikati) akielezea lengo la kuwekeza nchini katika Biashara ya Kaboni. Kikao hicho kimefanyika Dodoma, Novemba 25, 2025. Wa kwanza kushoto ni Afisa Mradi wa shilika hilo Bw. Tenzi Rugambwa.


 

0/Post a Comment/Comments