RAIS DKT. SAMIA AKUTANA NA WAZIRI MKUU IKULU NDOGO YA TUNGUU ZANZIBAR

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, Ikulu ndogo Tunguu, Zanzibar, tarehe 23 Desemba, 2025.

0/Post a Comment/Comments